Just for Laughs: The Samsung S6 SafaricomPrices – The Kenyan Response

0
- Advertisement -

Safaricom just posted innocently ati Samsung S6 is Ksh 94,999 Only.

Nimesoma comments hata nimeshangaa. I have just selected a 10 comments for you guys

1.Sitaki wazimu,hii pesa ni yangu sio ya mama yako.wacha nikae na kadunda kangu.hata wife dowry haikufika hivyo.

2.Hamko serioius.Kwani inapiga picha hadi mbinguni?

3.To the safaricom employee who posted this. Saying 94,999 ONLY.
How much is your Salary?

4.Andikeni comments fupi fupi otherwise hii mvua itatupata hapa

5.ati 94k, kwani hiyo simu ndio itakua inanibeba ama bado ni mimi nitakua naibeba?

6.sonko rescue team… nahitaji simu aki

7.Kwani hiyo simu ina ATM machine ama naeza download UNGA?

8.Inakam na nyumba self contained na title deed ama,,?

9.To the one posting this, Which phone are you using?

10. Hiyo simu inakam na decoder ama?? And do you make free calls all your life?
.
.
.

Wewe unaweza nunua simu kama hii?!